Mbonde anaamini atarejea imara kikosini Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Jun 2018
Mbonde anaamini atarejea imara kikosini Simba
Beki wa Simba, Salim Mbonde anasema licha ya majeraha ya goti la mguu wa kulia kumsumbua, hajaacha kufanya bidii ya kuzingatia mazoezi anayopewa na daktari.

Mbonde aliumia mzunguko wa kwanza kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Mtibwa Sugar, jambo lililompelekea acheze mechi chache kwa msimu ulioisha.

"Naamini mpaka msimu ujao nitakuwa mtu mwingine baada ya msimu ulioisha kuwa na machungu mengi kwangu, ingawa namshukuru Mungu kwa yote.

"Mazoezi ninayofanya ni kwa mujibu wa daktari anayenitibia, nimekuwa nikifanya bidii inayonisaidia kuanza kuona mwanga wa kupata nafuu, hivyo naamini nitarejea kwenye ubora wangu," anasema Mbonde.

Mbonde anasema anaomba Mungu amjalie afya njema ili aweze kuwa mmoja wa nyota watakaotoa mchango mkubwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’