Vijana Simba watinga nusu fainali Uhai Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Jun 2018
Vijana Simba watinga nusu fainali Uhai Cup
Kikosi cha Simba umri chini ya miaka 20 kimetinga nusu fainali ya kombe la Uhai baada ya ushindi wa mikwaju ya penati 4-5 kufuatia suluhu ya bila kufungana dhidi ya Prisons.

Mchezo huo wa robo fainali umepigwa jioni ya leo kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma.

Simba mabingwa watetezi wa michuano hiyo wameungana na Stand United, Mtibwa Sugar na Azam FC kutinga hatua ya nusu fainali.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’