Ndemla atabaki Simba - Try Again

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jun 2018
Ndemla atabaki Simba - Try Again
Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah 'Try Again' amesema timu hiyo iko mbioni kukamilisha zoezi la kuwasainisha mikataba mipya wachezaji ambao mikataba yao imemamlizika.

Amesema kiungo Said Khamis Ndemla ni miongoni mwa wachezaji hao ambao watasaini mikataba mipya ya kuendelea kuitumikia Simba.

Kumekuwa na sintofahamu kuhusu Ndemla anayedaiwa kugoma kusaini mkataba mpya akitaka ahakikishiwe nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza.

Ndemla anadaiwa kuwaniwa wa Yanga.

Lakini Salim amesisitiza kuwa Simba bado inamuhitaji Ndemla na hakuna shaka atasalia Msimbazi kwa miaka mingine miwili.

"Timu yetu haitamruhusu mchezaji yeyote wanayemuhitaji kuondoka Simba kwa wale waliomaliza mikataba akiwemo Ndemla," Try Again alinukuliwa na vyombo vya habari juzi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’