Kikosi cha vijana cha mabingwa wa Tanzania Bara, Simba leo kinashuka kwenye viwanja vya chuo kikuu cha Dodoma kucheza na Prisons kwenye mchezo wa robo fainali ya michuano ya Uhai.
Simba, mabingwa watetezi, watashuka dimbani baada ya mchezo wa kwanza kati ya Stand United na Ndanda FC.
Jana Azam FC na Mtibwa Sugar zikitangulia Nusu Fainali kwa ushindi wa 1-0 kila timu.
Azam FC iliifunga Mbao FC, bao pekee la Paul Peter dakika ya 60 na Mtibwa Sugar iliifunga Ruvu Shooting bao pekee la Abuu Juma dakika ya 55.

ADVERTISE HERE