Mseja akalia kuti kavu Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jun 2018
Mseja akalia kuti kavu Simba
Mlinda lango namba tatu wa Simba Emmanuel Mseja huenda akawa miongoni mwa wachezaji watakao-oneshwa mlango wa kutokea.

Mseja hajawa na msimu mzuri akitumika pekee kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi mapema mwezi Januari mwaka huu.

Aishi Manula na Said Mohammed 'Ndunda' ndio waliopewa majukumu ya kukaa langoni katika michezo yote ya ligi, Nduda akicheza kwenye michezo ya mwishoni mwa msimu baada ya kukaa nje kwa muda mrefu akisumbuliwa na majeruhi.

Mseja hakujumuishwa kwenye kikosi cha Simba kilichokwenda kushiriki michuano ya SportPesa nchini Kenya hivi karibuni.

Kipa Ally Salim kutoka kikosi cha pili ndiye aliyekuwa msaidizi wa kipa namba moja Aishi Manula kwenye michuano hiyo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’