Straika Dynamo FC ahusishwa kutua Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jun 2018
Straika Dynamo FC ahusishwa kutua Simba
Uongozi wa Simba umedhamiria kusajili mshambuliaji wa Kimataifa atakayewapa changamoto Emanuel Okwi na John Bocco.

Miongoni mwa majina yanaotajwa kuhusishwa na Simba ni Mcameroon Christian Joel Ntouba Epoupa anayekipiga katika klabu ya Dynamo FC inayoshiriki ligi kuu ya Zimbabwe.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ni mmoja wa wapachika mabao mawili katika ligi kuu ya Zimbabwe.

Mbali na kusaka mshambuliaji, Simba imepania kuimarisha safu yake ya kiungo ambapo nyota wa Gor Mahia Francis Kahata amekuwa akitajwa.

Hata hivyo haitakuwa kazi rahisi kupata sahihi ya Kahata kwani ni mchezaji tegemeo wa kikosi cha Gor Mahia kinachonolewa na kocha wa zamani wa Simba Dylan Kerr.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’