Vijana wa Simba watinga robo fainali Uhai Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jun 2018
Vijana wa Simba watinga robo fainali Uhai Cup
Licha ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana na Stand United, Simba imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Uhai inayoendelea mkoani Dodoma.

Simba imefikisha alama nne baada ya kushinda mchezo mmoja na kutoka sare mmoja. Imeungana na vinara wa kundi B Stand United waliofikisha alama 7.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Goli la ushindi dhidi ya Fountain Gate; FT : Fountain Gate 0-1 Simba

9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Fountain Gate 1-0 Tanzanite Kwaraa

10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29

13h ago
READ MORE β†’
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea

Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba

16h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL

Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
17h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30

19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026

21h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL

1d ago
READ MORE β†’