Kichuya apigia mahesabu tuzo zaidi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jun 2018
Kichuya apigia mahesabu tuzo zaidi Simba
Juzi kwenye hafla ya Mo Simba Awards, kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya alitwaa tuzo ya kiungo bora katika kikosi cha Simba msimu uliomalizika.

Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo, Kichuya amesema mafanikio aliyopata msimu huu ni jitihada zake pamoja na kufuata maelekezo aliyokuwa akipewa na walimu wake sambamba na ushirikiano mzuri aliopata kutoka kwa wachezaji wenzake.

Kichuya ameahidi kujituma zaidi msimu ujao ili aweze kuondoka na tuzo zaidi ya msimu huu.

Kiungo huyo aliyesajiliwa na Simba kutoka klabu ya Mtibwa Sugar tayari ameshamalizana na uongozi wa Simba, ikielezwa kuwa ameshasaini mkataba wa kuendelea kubaki Msimbazi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’