Kikosi cha vijana cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo kinashuka kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma kucheza dhidi ya Stand United kusaka nafasi ya kutinga robo fainali ya kombe la Uhai.
Simba iko kundi B ikiwa nafasi ya pili na alama tatu sawa na Njombe Mji.
Stand United ndio kinara wa kundi hilo ikiwa na alama sita. Ushindi katika mchezo huo kwa vijana wa Simba huenda ukaipa nafasi ya kutinga robo fainali ikitegemeana na matokeo ya mchezo kati ya Njombe Mji dhidi ya Singida United.

ADVERTISE HERE