Michuano ya kombe la dunia inaanza leo Urusi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jun 2018
Michuano ya kombe la dunia inaanza leo Urusi
Michuano ya kombe la dunia iliyosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka duniani inaanza leo Juni 14, 2018 nchini Urusi kwa wenyeji kuchuana na Saudi Arabia.

Mchezo huo wa ufunguzi utaanza saa 12 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Miongoni mwa wawakilishi wa Afrika, Misri na Morocco watashuka dimbani siku ya Ijumaa Juni 15.

Misri huenda wakaanza kampeni bila ya mshambuliaji wao tegemeo Mohammed Salah watakapoikabili Uruguay Ijumaa katika mchezo unaotarajiwa kuanza saa tisa Alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.

Morocco moja ya timu zinazopewa nafasi ya kuibeba Afrika katika michuano hiyo, itashuka dimbani kuikabili Irani saa 12 jioni siku hiyo ya Ijumaa.

Ijumaa pia kutakuwa na mchezo wa kwanza wa kukata na shoka kati ya mabingwa wa Ulaya Ureno wakatapochuana na Hispania mchezo utakaopigwa saa tatu usiku.

Ratiba ya Michezo yote ya Mzunguuko wa kwanza











ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
12h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
15h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’