Simba kuanza maandalizi ya Kombe la Kagame wiki ijayo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jun 2018
Simba kuanza maandalizi ya Kombe la Kagame wiki ijayo
Wachezaji wa Simba wamepewa mapumziko ya wiki moja kabla ya kuanza maandalizi ya michuano ya kombe la Kagame inayotarajiwa kurindima jijini Dar es salaam kuanzia Juni 28 hadi Julai 13 mwaka huu.

Simba imetoka kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup nchini Kenya na kuondoshwa katika hatua ya fainali kwa kuchapwa mabao 2-0 na Gor Mahia.

Mkuu wa Idara ya Habari ya klabu ya Simba Haji Manara amesema wataanza mazoezi ya kujiandaa na michuano ya Kagame mapema wiki ijayo.

"Baada ya kuhudhuria hafla ya Mo Simba Awards 2018 jana, wachezaji wote wamepewa mapumziko ya wiki moja na watarejea kambini wiki ijayo kuanza maandalizi ya kombe la Kagame"

Simba imepangwa kundi C pamoja na Yanga (imejitoa) Dakadaha ya Somalia na St. George ya Ethiopia.

Huenda Singida United ikapewa nafasi ya Yanga katika kundi hilo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’