MO Dewji apongezwa kwa kuandaa tuzo za Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jun 2018
MO Dewji apongezwa kwa kuandaa tuzo za Simba
Wadau mbalimbali wa soka nchini wamempongeza Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji kwa kuandaa hafla ya kutoa tuzo kwa wadu wa klabu hiyo waliochangia Simba kupata mafanikio msimu uliomalizika.

MO amekuwa wa kwanza kuuleta utaratibu huo kwa ngazi ya vilabu. Tumeshuhudia utamaduni huo ukifanyika nchi za wenzetu.

Tuzo hizo zitakuwa chachu ya mafanikio zaidi kwani zitaongeza ari na kujituma kwa wachezaji kwa kutambua mchango wao unathaminiwa.

Tuzo hizo zilizofanyika jana, Juni 11, 2018 Hyatt Regency - Kilimanjaro Hotel, zilitolewa kwa viongozi, wachezaji na mashabiki ambapo washindi walipatikana kwa kupigiwa kura na wadau.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’