Kocha anayemaliza muda wake Simba Pierre Lechantre amehudhuria hafla ya utolewaji wa tuzo maalum zilizoandaliwa na Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji zinazotambulika kama Mo Simba Awards 2018.
Tuzo hizo zinatolewa usiku huu Hyatt Regency - Kilimanjaro Hotel.

Miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa ni pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Mzee Ali Hassani Mwinyi.

Mbunge wa Mikumi Mh Joseph Haule, mwandishi na mchambuzi mahiri wa michezo Edo Kumwembe na Mwanamuziki wa kizazi kipya Hamis Mwinjuma 'Mwana FA', nao wamehudhuria hafla hiyo.

ADVERTISE HERE