Tuzo za Mo Simba kutolewa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jun 2018
Tuzo za Mo Simba kutolewa leo
Tuzo za klabu ya Simba zilizoandaliwa na Mwekezaji namba moja, Mohammed Dewji zijulikanazo kama 'Mo Simba Awards 2018', zinafanyika leo Jumatatu ya Juni 11, 2018 katika Hotel ya Hyatt Regency - Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es salaam.

Tuzo hizo zitatolewa kwa wachezaji, viongozi na mashabiki wa klabu ya Simba kwa kulingana na masharti yaliyowekwa.

Tuzo hizo zitakuwa na jumla ya vipengele 16 kama ilivyoainishwa hapa chini;



Washindi wa tuzo hizo watapatikana kwa kupigiwa kura kupitia mitandao rasmi ya kijamii ya klabu ya Simba pia katika tovuti ya Mo Simba Awards

MO ameandaa tuzo hizo kutambua mchango wa wadau hao wa klabu ya Simba ambao wamewezesha kutwaa ubingwa wa VPL msimu huu.

Tayari kikosi cha Simba kimewasili jijini Dar es salaam kutoka nchini Kenya walikoshiriki michuano ya SportPesa Super Cup iliyomalizika jana.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
8h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
8h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
11h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’