Mshambuliaji wa Simba John Bocco atakuwa tayari kushuka dimbani kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom shidi ya Yanga keshokutwa Jumamosi.
Bocco amekuwemo kwenye kikosi cha Simba kilichoweka kambini visiwani Zanzibar kujiandaa na mchezo huo.
Juzi na Jana amefanya mazoezi ya nguvu kuashiria kwamba amepona majeraha yake yaliyomuweka nje kwa simu moja.
Bocco aliumia katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya bao 1-1.

ADVERTISE HERE