Simba matumaini kibao Kenya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jun 2018
Simba matumaini kibao Kenya
Ule mchezo wa fainali wa michuano ya SportPesa Super Cup utakaowakutanisha mabingwa wa Tanzania Bara, Simba na mabingwa wa Kenya Gor Mahia unapigwa leo kwenye dimba la Afraha, Nakuru Kenya.

Mchezo huo utaanza saa tisa Alasiri baada ya mchezo wa kusaka mshindi wa tatu kati Singida United dhidi ya Kakamega HomeBoyz utakaoanza saa sita mchana.

Simba ikiwa chini ya Kaimu Kocha Mkuu Masudi Djuma itakuwa na nafasi ya kukata tiketi ya kwenda Uingereza kuchuana na Everton kama itaifunga Gor Mahia leo.

Gor Mahia ndio mabingwa watetezi wa michuano hiyo iliyoanza mwaka jana na walitwaa taji hilo nchini Tanzania.

Simba imepania kulitwaa taji hilo huko Kenya pia.

Katika mchezo wa leo Simba itamkosa kiungo Haruna Niyonzima ambaye ana kadi mbili za njano hata hivyo kocha Djuma amesema hana wasiwasi juu ya kukosekana kwa Mnyarwanda huyo kwani wapo wachezaji wa kuziba nafasi yake.

Shamrashamra kuelekea mchezo huo wa fainali ni kubwa na hakika siku ya leo hatumwi mtoto dukani.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’