Niyonzima kuikosa Gor Mahia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jun 2018
Niyonzima kuikosa Gor Mahia
Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima hatacheza mchezo wa fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kesho dhidi ya Gor Mahia kwa kuwa ana kadi mbili za njano.

Kulingana na kanuni za michuano hiyo, mchezaji mwenye kadi mbili za njano atakosa mchezo mmoja.

Kaimu Kocha wa Simba Masudi Djuma amesema ana wachezaji 18 hivyo kukosekana kwa Niyonzima hakuwezi kuwa tatizo.

Kesho Jumapili, Juni 10 2018, saa tisa Alasiri, Simba itashuka kwenye uwanja wa Afraha kumenyama na mapingwa watetezi wa michuano hiyo, Gor Mahia.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
37m ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
18h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’