Djuma ndiye bosi wa Simba kwa sasa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jun 2018
Djuma ndiye bosi wa Simba kwa sasa
Kocha Msaidizi wa Simba Masudi Djuma amekabidhiwa jukumu la kuiongoza timu hiyo kwenye mchezo wa fainali ya SportPesa Super Cup dhidi ya Gor Mahia keshokutwa Jumapili.

Baada ya kocha Mkuu Pierre Lechantre na kocha wa viungo aliyekuja nae Aimen Habib kujiweka kando, uongozi wa Simba umeridhia kumkabidhi timu Djuma.

Lechantre huenda akawa ameondoka Simba baada ya uongozi wa timu hiyo kuamua kuachana nae pale mkataba wake utakapokuwa umemalizika rasmi Juni 18, 2018.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’