Tanzania yaporomoka viwango FIFA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jun 2018
Tanzania yaporomoka viwango FIFA
Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Machi 27 haujaisaidia Tanzania kuepuka maporomoko kwenye viwango vya soka vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa mwezi April.

Tanzania imeporomoka kwa nafasi tatu hadi ya 140 katika orodha ya Aprili Γ’β‚¬β€œ Mei iliyotolewa jana na FIFA, huku Ujerumani ikiendelea kuongoza duniani, ikifuatiwa na Brazil, Ubelgiji, Ureno, Argentina, Uswisi, Ufaransa, Poland, Chle na Hispania zikikamilisha 10 Bora.

Kwa Afrika, Tunisia ndiyo inaongoza ikiwa nafasi ya 21 duniani, ikifuatiwa na Senegal 27, DRC 38, Morocco 41, Misri 45, Ghana 47, Nigeria 48, Cameroon 49, Mali 64 na Cape Verde 65 ikikamiklisha 10 Bora za Afrika.

Tanzania inazidiwa na jirani zake wote wa Afrika Mashariki, Uganda ikikamata nafasi ya 82 na Kenya nafasi ya 112.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’