Lechantre alivyoishuhudia Simba jukwaani leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jun 2018
Lechantre alivyoishuhudia Simba jukwaani leo
Kocha Msaidizi wa Simba Masudi Djuma ndiye aliyeiongoza timu hiyo kutinga fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kwa ushindi wa mikwaju ya penati 5-4 baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya KK HomeBoyz.

Kocha Mkuu wa timu hiyo Pierre Lechantre aliushuhudia mchezo huo akiwa jukwaani.

Lechantre anadaiwa kufanya 'mgomo baridi' akiushinikiza uongozi wa Simba umpatie mkataba mpya au uachane nae.

Mkataba wake wa awali ulikuwa wa miezi sita na unamalizika Juni 18, lakini bado hakuna mazungumzo juu ya mkataba mpya.

Kumekuwa na shinikizo kubwa kwa uongozi wa Simba kutoka kwa mashabiki wanaotaka waachane na kocha huyo na timu akabidhiwe Djuma.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’