Lechantre ajiweka kando, Djuma kuiongoza Simba leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jun 2018
Lechantre ajiweka kando, Djuma kuiongoza Simba leo
Kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre amejiweka kando kukiongoza kikosi cha Simba, imefahamika.

Kocha Msaidizi wa Simba Masudi Djuma ndiye atakaye kiongoza kikosi cha timu hiyo kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup dhidi ya KK HomeBoyz.

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba Said Tuly amesema uongozi wa timu hiyo utatoa taarifa baada ya mchezo dhidi ya KK HomeBoyz.

Mkataba wa Lechantre wa kuitumikia Simba unamalizika Juni 18 mwaka huu lakini mpaka sasa hakukuwa na mazungumzo juu ya kuhuisha mkataba huo.

Kocha huyo ameonekana akiwa jukwaani kabla ya mchezo wa Simba dhidi ya KK HomeBoyz
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’