Salamba aongeza nguvu Nakuru

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jun 2018
Salamba aongeza nguvu Nakuru
Mshambuliaji mpya wa Simba aliyesajiliwa kutoka Lipuli FC Adam Salamba aliwasili jana Nakuru Kenya kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Simba ambacho leo saa saba mchana kinashuka kwenye uwanja wa Afraha kucheza na KK HomeBoyz kwenye mchezo wa nusu fainali, SPortPesa Super Cup.

Kuwasili kwa Salamba kumeongeza morali kwenye safu ya ushambuliaji ya Simba ambayo haikufanya vizuri kwenye mchezo wa kwanza.

Simba inahitaji kushinda mchezo wa leo ili iweze kutinga fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kutwaa taji hilo na hatimaye kuipata tiketi ya kwenda Uingereza kucheza na Everton FC.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
2h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
20h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
23h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’