Tuzo za Mo Simba kutolewa Juni 11

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jun 2018
Tuzo za Mo Simba kutolewa Juni 11
Tuzo za klabu ya Simba zilizoandaliwa na Mwekezaji namba moja, Mohammed Dewji zijulikanazo kama 'Mo Simba Awards 2018', zitafanyika Jumatatu ya Juni 11, 2018 katika Hotel ya Hyatt Regency - Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es salaam.

Tuzo hizo zitatolewa kwa wachezaji, viongozi na mashabiki wa klabu ya Simba kwa kulingana na masharti yaliyowekwa.

Tuzo hizo zitakuwa na jumla ya vipengele 16 kama ilivyoainishwa hapa chini;



Washindi wa tuzo hizo watapatikana kwa kupigiwa kura kupitia mitandao rasmi ya kijamii ya klabu ya Simba pia katika tovuti ya Mo Simba Awards

MO ameandaa tuzo hizo kutambua mchango wa wadau hao wa klabu ya Simba ambao wamewezesha kutwaa ubingwa wa VPL msimu huu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’