Dalali amtabiria makubwa Niyonzima pambano la watani wa Jadi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
26 Oct 2017
Dalali amtabiria makubwa Niyonzima pambano la watani wa Jadi
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Hassan Dalali amesema kiungo mpya wa Simba, Haruna Niyonzima ni fundi hasa na atafanya jambo siku ya mechi ya Yanga.

Dalali anaamini, Niyonzima atakuwa mhimili mkubwa wa Simba wakati ikiivaa Yanga, Jumamosi.

“Yanga hawako vizuri sana lakini hizi mechi za Yanga na Simba huwa hazina mwenyewe," Dalali amenukuliwa na mtandao wa SalehJembe

“Lakini Simba ina nafasi kubwa ya kucheza vizuri hasa katika upishi wa mipira. Kuna mtu kama Niyonzima pale, huyu ni fundi kwelikweli.

“Nasema kama Simba watafanya makosa nyuma wanaweza kushindwa, lakini lazima mpira wataucheza na wanachotakiwa ni kutumia nafasi kwa kuwa Niyonzima ambaye ni fundi kwelikweli na wenzake pale katikati watakuwa na msaada,” alisema.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →