Singida United yaifuata Simba nusu fainali SportPesa Super Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jun 2018
Singida United yaifuata Simba nusu fainali SportPesa Super Cup
Singida United imetinga nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuiondosha AFC Leopards kwa mikwaju penati 4-3 baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana.

Mlinda lango wa Singida United Manyika Peter ndiye aliyekuwa shujaa wa mchezo huo kwa kufanikiwa kuiweka timu yake mchezoni ndani ya dakika 90 akiweza kuokoa mabao kadhaa ya wazi pamoja na mkwaju wa penati.

Singida United sasa inaungana na Simba kuwa timu mbili kutoka Tanzania zilizotinga hatua ya nusu fainali sawa na Gor Mahia na Kakamega HomeBoyz za Kenya.

Michezo ya nusu fainali itapigwa keshokutwa, Alhamisi Juni 07 ambapo Singida United itacheza na Gor Mahia wakati Simba itachuana na KK HomeBoyz
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’