Michuano ya CECAFA, Kagame Cup kuanza Juni 28, Simba na Yanga zapangwa kundi moja

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jun 2018
Michuano ya CECAFA, Kagame Cup kuanza Juni 28, Simba na Yanga zapangwa kundi moja
Michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati inayotambulika kama Kagame Cup inatarajiwa kuanza jijini Dar es salaam Juni 28, 2018.

Michuano hiyo itashirikisha timu 12 zilizogawanywa kwenye makundi matatu. Vilabu vya Simba na Yanga vimepangwa kundi moja.

Kundi A

JKU (ZAN)
Azam FC (TAN)
Kator (S.SUD)
Uganda Rep

Kundi B

Ports (DJI)
Lydia (BUR)
Rayon Sports (RWA)
Gor Mahia (KEN)

Kundi C

Yanga (TAN)
St George (ETH)
Simba (TAN)
Dakadaha (SOM)

Ratiba



Michuano hiyo itafanyika kwenye viwanja vya Azam Complex Chamazi na uwanja wa Taifa
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
31m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’