Simba imefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada kushinda kwa mikwaju ya 3-2 kufuatia matokeo ya 0-0 dhidi ya K. Sharks.
Mlinda lango Aishi Manula ndiye aliyekuwa shujaa wa Simba kwenye mchezo huo kwa kuinusuru Simba isifungwe kwenye dakika 90 na pia kwenye mikwaju ya penati.
Waliofunga mikwaju ya penati ya Simba ni Erasto Nyoni, Haruna Niyonzima na Jonas Mkude.
Licha ya ushindi Simba haikuwa na mchezo mzuri kabisa ambapo mashabiki wa mabingwa hao wa Tanzania Bara wameutaka uongozi kuwaongeza kikosini nahodha John Bocco na kinara wa mabao Emanuel Okwi.

Simba itacheza na Kakamega HomeBoyz kwenye mchezo wa nusu fainali, Juni 07.

ADVERTISE HERE