Simba, Singida United zabeba matumaini ya Watanzania, SportPesa Super Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jun 2018
Simba, Singida United zabeba matumaini ya Watanzania, SportPesa Super Cup
Leo Simba itashuka kwenye uwanja wa Afraha kucheza na K. Sharks ukiwa ni mchezo wa robo fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup.



Baada ya Yanga na JKU kutolewa jana, Simba na Singida United zina deni kubwa la kuhakikisha zinasonga mbele.

Itakuwa ni aibu kwa timu zote za Tanzania kutolewa katika hatua ya awali na kuziacha timu za Kenya zikitamba peke yao.

Mwaka jana michuano hiyo ilipofanyika nchini Tanzania, Gor Mahia ilitwaa taji na kupata nafasi ya kucheza na Everton kwenye uwanja wa Taifa.

Ilikuwa ni aibu kwa timu zote za Tanzania kutolewa na kuziacha timu za Kenya, Gor Mahia na AFC Leopards zikitinga fainali.

Simba wakiwa mabingwa wa Tanzania wana deni kubwa la kulinda hadhi ya nchi yetu.

Ahadi iliyotolewa na nahodha wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' ni kuwa watahakikisha wanashinda mchezo wa leo na kutinga nusu fainali ya michuano hiyo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’