Kichuya, Mzamiru watua Kenya kuongeza nguvu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jun 2018
Kichuya, Mzamiru watua Kenya kuongeza nguvu
Viungo Shiza Kichuya na Mzamiru Yassini wametua nchini Kenya jana kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Simba ambacho leo kinashuka kwenye dimba la Afraha kuikabili K Sharks.

Mzamiru na Kichuya walibaki jijini Dar es salaam wakiwa na mazungumzo na viongozi wa Simba juu ya kuhuisha mikataba yao.

Mzamiru tayari amesaini mkataba wa miaka miwili, wakati imeelezwa Kichuya atasaini baada ya kumalizika michuano hiyo ya SportPesa.

Simba na Singida United ndio vilabu pekee kutoka Tanzania vilivyobaki kwenye michuano hiyo baada ya Yanga na JKU kuondolewa jana.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’