Yanga yapigwa 3-1, yaondolewa mashindanoni, Simba dimbani leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jun 2018
Yanga yapigwa 3-1, yaondolewa mashindanoni, Simba dimbani leo
Yanga imekuwa timu ya kwanza kuyaaga mashindano ya SportPesa Super Cup baada ya kulazwa mabao 3-1 na Kakamega HomeBoyz.

Mchezo huo wa ufunguzi umepigwa leo Jumapili kwenye uwanja wa Afraha, Nakuru Kenya.

Simba itashuka katika uwanja huo leo Jumatatu, Juni 04 kucheza na K Sharks.

Mchezo huo unatarajia kuanza saa tisa Alasiri
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’