Simba yaweka kambi Mwanza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Sep 2017
Simba yaweka kambi Mwanza
Baada ya kucheza mchezo wa kirafiki na Milambo ya Tabora jana, Simba imerejea jijini Mwanza kuweka kambi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom, mzunguuko wa tano dhidi ya Stand United.

Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Simba, Haji Manara amesema tayari Simba imewasili salama jijini Mwanza.

Akieleza sababu ya kuweka kambi Mwanza, Manara amesema wamevutiwa na hali ya hewa ya jiji hilo pamoja na utulivu uliopo.

Simba inatarajiwa kuondoka Mwanza Alhamisi kuelekea Shinyanga ambapo Jumapili, Oktoba mosi itashuka dimba la Kambarage kuumana na Stand United.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’