Michuano ya SportPesa Super Cup yaanza Kenya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jun 2018
Michuano ya SportPesa Super Cup yaanza Kenya
Michuano ya SportPesa Super Cup inaanza leo Nakuru nchini Kenya ambapo michezo miwili inatarajia kupigwa.

Yanga ndio inayofungua mashindano hayo kwa kucheza na Kakamega HomeBoyz mchezo ukitarajiwa kuanza saa saba mchana na kufuatiwa na mchezo kati ya Gor Mahia mabingwa wa msimu uliopita dhidi ya JKU.

Mabingwa wa Tanzania, Simba wao wanashuka dimbani kesho Jumatatu, Juni 04 kucheza na K. Sharks kwenye mchezo unaotarajiwa kuanza saa tisa kamili Alasiri.

Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again' amesema wachezaji watatu wameondoka leo kwenda kuongeza nguvu nchini Kenya.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’