Vituo vitatu vya runinga nchini vitarusha mubashara mashindano ya SportPesa Super Cup yanayotarajiwa kuanza kesho Jumapili, Juni 03, Nakuru Kenya.
Wadhamini wa mashindano hayo, kampuni ya SportPesa imetaja vituo hivyo kuwa ni Star Spots na Star TV kutoka kin'gamuzi cha Continental wakati Sports Focus ni kutoka kin'gamuzi cha Star Times.
Yanga itafungua michuano hiyo kesho kwa kucheza na Kakamega HomeBoyz saa saba mchana wakati JKU itacheza na Gor Mahia kwenye mchezo unaofuata saa tisa na robo alasiri.
Mabingwa wa Tanzania, Simba wao watashuka dimbani keshokutwa Juni 04 kucheza na K Sharks saa tisa kamili Alasiri

ADVERTISE HERE