Kiungo wa Simba Mzamiru Yassini amesema yuko kwenye mazungumzo na uongozi wa mabingwa hao wa Tanzania Bara ili aendelee kubaki Msimbazi.
Mkataba wa Mzamiru aliyesajiliwa na Simba kutoka Mtibwa Sugar misimu miwili iliyopita, unaelekea ukingoni na Simba imeonesha nia ya kutaka kuendelea nae.
Mzamiru hakujumuishwa kwenye kikosi cha Simba ambacho kiko nchini Kenya kushiriki michuano ya SportPesa Super.
Imeelezwa kuwa mchezaji huyo alikuwa mgonjwa na baada ya kupona, huenda akaelekea Kenya wakati wowote ili kuongeza nguvu.

ADVERTISE HERE