Wachezaji wenye mikataba kamili kuruhusiwa kucheza Sportpesa Super Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Jun 2018
Wachezaji wenye mikataba kamili kuruhusiwa kucheza Sportpesa Super Cup
Wachezaji wenye mikataba kamili wataruhusiwa kucheza michuano ya SportPesa Super Cup inayoanza keshokutwa Juni 03 Nakuru Kenya hata kama wamesajiliwa wakati huu, imefahamika.

Ufafanuzi huo umetolewa kufuatia sintofahamu iliyojitokeza baada ya tangazo la awali kubainisha kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa na timu za Tanzania wakati huu hawaruhusiwi kushiriki michuano hiyo.

Sasa watakaoweza kucheza ni wale ambao tayari wamemaliza mikataba yao ya kuzitumikia timu zao za zamani na wamesaini mikataba kamili katika timu zinazoshiriki michuano hiyo.

Wachezaji waliosaini mikataba ya awali hawataruhusiwa kushiriki michuano hiyo.

Hii ina maana kwamba kwa wale wachezaji waliosajiliwa lakini mikataba yao na timu zao za zamani inamalizika mwishoni mwa mwezi huu au mwezi ujao hawataruhusiwa kushiriki michuano hiyo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’