SportPesa yazuia wachezaji wapya kucheza Super Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 May 2018
SportPesa yazuia wachezaji wapya kucheza Super Cup
Ule mpango wa vilabu vya Simba na Yanga kuwatumia wachezaji wake wapya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup inayoanza Nairobi Juni 03 umekwama baada ya waandaaji wa michuano hiyo kukataa.

Kampuni ya SportPesa inayoandaa mashindano hayo yanayohusisha timu ambazo zinadhaminiwa na kampuni hiyo, imezitaka timu shiriki kutoka Tanzania kutumia vikosi vyao vilivyomaliza msimu.

Simba ilipanga kutumia michuano hiyo kutambulisha wachezaji wake wapya kama Adam Salamba na Marcel Kaheza.

Mabingwa hao wa Tanzania Bara msimu huu wanaondoka kesho kuelekea Nairobi, Kenya kushiriki michuano hiyo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’