Mazoezi makali huko Zanzibar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Oct 2017
Mazoezi makali huko Zanzibar
Kikosi cha Simba kilichoweka kambi visiwani Zanzibar kimeendelea kujifua kujiandaa na mchezo wake dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Jumla ya wachezaji 24 wa Simba pamoja na viongozi wao wako Unguja ambapo mazoezi yanafanyika kwenye Uwanja wa Jeshini Migombani.

Simba itaendelea kufanya mazoezi kila siku asubuhi kuanzia saa 3:00 kwenye Uwanja wa Amaan na saa 10:00 za jioni katika Uwanja wa Jeshini Migombani.

Kikosi hicho kinachonolewa na Mcameroon Joseph Omog pamoja na msaidizi wake mpya Mrundi Masoud Djuma Irambona kimefikia kwenye Hoteli ya Mtoni Marine iliyopo Maruhubi Mjini Unguja.

Mshindi wa mechi hiyo ya watani wa jadi atajihakikishia kukalia usukani wa ligi baada ya timu hizo kulingana kwa pointi na kutofautiana kwa mabao.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’