Simba tayari iko Songea

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 May 2018
Simba tayari iko Songea
Kikosi cha Simba kilifika salama jana mkoani Ruvuma tayari kwa mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Majimaji kesho Jumatatu, May 28 2018.

Simba ikiwa tayari imekabidhiwa ubingwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli, imekwenda kukamilisha ratiba tu.

Lakini mchezo huo una umuhimu wa kipekee kwa Majimaji ambayo kama itashinda inaweza kufufua matumaini ya kubaki ligi kuu ya Vodacom msimu ujao.

Licha ya mazingira hayo, Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema Simba imekwenda Songea kushindana.

Amesema wanataka kumaliza mchezo wa mwisho kwa kuibuka na ushindi mnono ugenini.

Simba huenda ikatumia mchezo huo kuwapa nafasi wachezaji ambao wamekuwa hawachezi pia kuutumia kuwaaga baadhi ya wachezaji wanaoondoka.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’