Kaheza huyooo Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 May 2018
Kaheza huyooo Msimbazi
Taarifa zisizo na shaka ni kwamba uongozi wa Simba tayari umemalizana na mshambuliaji wa Majimaji Marcel Kaheza aliyeifungia timu hiyo mabao 13 msimu huu.

Kaheza aliwahi kuitumikia timu ya vijana ya kikosi cha Simba na sasa anarejea kwa mara ya pili lakini katika timu ya wakubwa.

Kaheza anayetarajiwa kuiongoza Majimaji kwenye mchezo wa kumaliza msimu msimu dhidi ya Simba keshokutwa, imeelezwa atasaini mkataba wa miaka miwili.

Uongozi wa Simba umedhamiria kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao na michuano ya ligi ya mabingwa inayoanza mwezi Disemba mwaka huu.

Kaheza anatua Simba pamoja na mshambuliaji mwingine wa Kimataifa atakayesajiliwa kuchukua nafasi za Laudirt Mavugo na Juma Liuzio ambao mikataba yao imemalizika na Simba haina mpango wa kuwapa mikataba mipya.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’