Simba bado inamuhitaji Kichuya - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 May 2018
Simba bado inamuhitaji Kichuya - Manara
Mkuu wa idara ya habari ya klabu ya Simba Haji Manara amesema timu hiyo bado inajaribu kumshawishi kiungo wake mshambuliaji Shiza Kichuya aweze kusaini mkataba mpya.

Akihojiwa na moja ya redio maarufu nchini, Manara alisema wanatambua matamanio ya Kichuya kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi na hawatamzuia akipata timu.

Juzi baba mzazi wa kiungo huyo Mzee Ramadhani Kichuya alipinga mwanawe kusaini mkataba mpya katika klabu ya Simba kwa kuwa klabu ya TP Mazembe imeonyesha nia ya kutaka kumsajili.

Mkataba wa Kichuya wa kuitumikia klabu ya Simba unamalizika mwezi ujao na upo uwezekano mkubwa akaelekea nje ya nchi kusakata kabumbu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’