Liuzio aanza kusaka timu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 May 2018
Liuzio aanza kusaka timu
Wakati Simba ikisubiri kumalizika kwa ligi ianze mchakato wa kukiboresha kikosi chake baadhi ya wachezaji tayari 'wamejiondoa' katika mipango cha Simba msimu ujao.

Miongoni mwa wachezaji hao ni Juma Liusio Ndanda ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu na hana uhakika kama atasajiliwa tena.

Liuzio aliyesajiliwa na Simba kutoka klabu ya ZESCO akiitumikia Simba kwa mkopo kwenye msimu wake wa kwanza, hakuwa na nafasi kabisa kwenye kikosi cha Lechantre na dalili zinaonekana hataweza kuongezwa mkataba mwingine.

Mchezaji huyo amesema yuko tayari kujiunga na timu yoyote itakayomuhakikishia kupata nfasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza.

Mbali na Liuzio, Mzamiru Yassini, Shiza Kichuya, Ludirt Mavugo, Mohammed Ibrahim 'Mo' na Said Ndemla nao mikataba yao inamalizika mwezi ujao hatma yao ikiwa mikononi mwa kocha Pierre Lechantre anayesubiri kuwasilisha ripoti yake.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’