Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Simba leo walifika Makao Makuu ya Kampuni ya SportPesa, wadhamini wakuu wa Simba msimu huu.
Pamoja na mambo mengine, SportPesa ilikamilisha ahadi yake ya kutoa Mil 100 kwa Simba baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa kama ilivyoelekezwa katika Mkataba.

ADVERTISE HERE