Kampuni ya SportPesa, ambao ni wadhamini wa klabu ya Simba leo wamekabidhi hundi ya Sh Mil 100 kwa mabingwa hao wa soka Tanzania Bara.
Moja ya kipengele kwenye Mkataba wa Simba na SportPesa ni kutolewa kwa zawadi hiyo kama Simba itatwaa ubingwa wa VPL.

Kwa kutwaa ubingwa msimu huu Simba itakuwa imevuna jumla ya Mil 180, Mil 80 zikiwa za zawadi kutoka kwa wadhamini wa ligi, kampuni ya Vodacom.
Baada ya mafanikio hayo uongozi wa Simba sasa unaelekeza nguvu zake kwenye michuano ya SportPesa itakayoanza nchini kenya kuanzia Juni 03.
Simba imeahidi kupeleka kikosi chake kamili kilichowezesha kutwaa ubingwa wa VPL.
Bingwa wa michuano ya SportPesa atanyakua kitita cha Mil 68 pia kusafiri nchini Uingereza kucheza na klabu ya Everton kwenye dimba la Goodison Park.

ADVERTISE HERE