Lipuli FC yamuweka sokoni Salamba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 May 2018
Lipuli FC yamuweka sokoni Salamba
Uongozi wa Lipuli FC umesema uko tayari kumuuza mshambuliaji wake Adam Salamba kama itapokea isiyo chini ya Mil 50.

Mwenyekiti wa Lipuli FC Ramadhani Mahano amesema tayari wamepokea ofa mbili kutoka kwa vilabu vya Simba na Azam FC na wamewaelekeza juu ya masharti yao hayo.

Salamba alitakiwa kwa mkopo na klabu ya Yanga ili aweze kutumika kwenye michuano ya kombe la Shirikisho lakini Lipuli FC ilikataa maombi hayo kwa kuwa kanuni za TFF, CAF na FIFA haziruhusu mchezaji kucheza zaidi ya timu mbili ndani ya msimu mmoja
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’