Kocha wa Simba Pierre Lechantre ni miongoni mwa makocha wanaopewa nafasi ya kupitishwa kuinoa timu ya Taifa ya Cameroon imefahamika.
Lechantre alituma maombi ya kuinoa timu ya Taifa ya Cameroon inayosaka kocha mpya na huenda akapitishwa kuinoa timu hiyo kutokana na mafanikio aliyowahi kupata na Simba hao wasiofugika.
Mwaka 2000 Lechantre aliiwezesha Cameroon kutwaa taji la AFCON.
Hata hivyo mwenyewe amegoma kuweka wazi juu ya uwezekano wake wa kuondoka Simba iwapo maombi yake yatafanikiwa.
Ameendelea na mipango ya kukiimarisha kikosi cha Simba kwa ajili ya mashindano ya Kimataifa na msimu ujao.

ADVERTISE HERE