Kaheza anatajwa tajwa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 May 2018
Kaheza anatajwa tajwa Simba
Wakati akiendelea kutajwa kuwa yu mbioni kutua Msimbazi, straika wa Majimaji Marcel Boniventure Kaheza, amefunguka na kudai kuwa hana hofu kabisa na kasi ya Emmanuel Okwi na John Bocco na kama kweli atatua Simba jamaa wajipange.

Kaheza alisema ana uhakika akitua Simba lazima aingie kikosi cha kwanza kwa vile ana uwezo mkubwa wa kuhimili ushindani licha ya ukubwa wa majina ya washambuliaji hao wakongwe waliofunga jumla ya mabao 34 kwa pamoja katika Ligi Kuu msimu huu.

Straika huyo mwenye mabao 13 hadi sasa, anahusishwa kujiunga na Simba na amethibitisha kufanya mazungumzo na mabosi wa Msimbazi, huku akisisitiza yupo tayari kuliamsha sambamba na akina Okwi.

Ò€œSina wasiwasi ya kukosa namba licha ya kuwapo kwa kina Bocco (John) au Okwi(Emmanuel), naamini kiwango changu ni cha juu na nitapata nafasi tena kikosi cha kwanza,Ò€ alisema Kaheza.

Kuhusu hatma ya timu yake kushuka daraja, Kaheza alisema bado hawajakata tamaa hadi mechi yao ya mwisho na kwamba itategemeana na matokeo.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’