Wanachama Simba warekebisha Katiba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 May 2018
Wanachama Simba warekebisha Katiba
Wanachama wa klabu ya Simba leo kwa pamoja wamepitisha marekebisho ya Katiba ya klabu hiyo ambayo sasa yatampa mamlaka mwekezaji mpya Mo Dewji kumiliki hisa katika klabu hiyo kwa asilimia 49 wakati Wanachama wakibaki na hisa asilimia 51.

Marekebisho hayo ya Katiba yamefanywa kwenye Mkutano wa dharura wa Simba uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Akizungumza baada ya kukamilika kwa mchakato huo, Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again' amesema kukamilika kwa mchakato huo kuna maana kubwa kwa klabu ya Simba.

Abdallah amesema mchakato huo umeruhusu kuanza rasmi kwa mfumo wa kisasa wa uendeshaji wa klabu ya Simba.

Mfumo ambao utaipa Simba uwezo wa kifedha na sasa itaweza kuimarisha kikosi chake kwa kusajili wachezaji kutoka mahali popote ndani na nje ya Afrika.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’