Mkutano Mkuu wa dharura ulioitishwa na klabu ya Simba ili kufanya marekebisho ya Katiba kuruhusu mfumo mpya wa uwekezaji, unafanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere.
Asubuhi na mapema Wanachama wa klabu ya Simba wamefika katika ukumbi huo ulio maeneo ya Posta jijini Dar es salaam tayari kwa mchakato huo muhimu.

Baada ya marekebisho hayo ya Katiba, mwekezaji wa Simba, Bilionea Mohammed Dewji atamiliki hisa asilimia 49 wakati asilimia 51 zitabaki kwa wanachama wa Simba.

ADVERTISE HERE