Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom 2017/18, Simba wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wao baada ya kukabidhiwa ubingwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Dk John Magufuli.
Simba ilikabidhiwa ubingwa na Rais Magufuli jana baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Kagera Sugar.
Hata hivyo Simba ilipoteza mchezo huo kwa bao 1-0 na kuharibu rekodi ya kutofungwa msimu huu.
Lakini kipigo hicho hakikuharibu shamrashamra za ubingwa uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na Wana Msimbazi kwa takribani miaka mitano.

ADVERTISE HERE