Mamia ya Mashabiki wa Simba wameendelea kuingia kwa wingi kwenye uwanja wa Taifa tayari kwa hafla ya kukabidhiwa kombe la ubingwa wa VPL msimu huu na mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli.
Mashabiki walianza kuingia uwanjani tangu saa mbili asubuhi na zoezi hilo bado linaendelea.
Huenda leo Simba ikavunja rekodi ya kuingiza mashabiki wengi kwenye uwanja wa Taifa kwa ngazi ya vilabu tangu kufunguliwa kwa uwanja huo.

ADVERTISE HERE